FEAST OF THE EXALTATION OF THE CROSS, YEAR C.

LEO 14.09. 2025 NI DOMINIKA YA KUTUKUZWA KWA MSALABA,  MWAKA C.

MATAYARISHO YA LITURUJIA

  • Jumapili ijayo, tarehe 21 Septemba, ni Dominika ya 25 Kipindi cha kawaida, Mwaka C. Misa hapa Kanisani zitakuwa saa moja asubuhi, saa tatu kasorobo na saa nne unusu asubuhi.

MISA WIKI HII

  • Wanajumuiya wa Mary Help of Christians, watakuwa na Misa, Alhamisi ijayo, tarehe 18 Septemba, hapa Kanisani, kuanzia saa kumi na mbili jioni.

MATANGAZO MENGINE

  • Wanachama wa kundi la Divine Mercy wanafahamishwa kwamba kutakuwa na mafunzo leo Kanisani St. Patrick’s, kuanzia saa nane mchana. Wanaombwa kuleta Bibilia zao.
  • Wasimamizi wa St. Patrick’s Self Help Group, wanawaalika wanachama kwa siku ya mafunzo na uhamasishaji Jumamosi ijayo, tarehe 20 Septemba, katika ukumbi wa Kanisa la St. Patrick’s, kuanzia saa tatu asubuhi.
  • Afya Care Limited itakuwa na uchunguzi wa bure wa magonjwa mbalimabli Jumapili ijayo, tarehe 21 Septemba, hapa Kanisani, baada ya Kila Misa.
  • Wanachama wa CWA wanafahamishwa kwamba watakuwa na mafundisho tayarishi Jumapili ijayo, tarehe 21 Septemba, hapa Kanisani, kuanzia saa sita mchana.

TANGAZO LA NDOA MARA YA PILI

  • Tunatangaza nia ya ndoa takatifu kati ya Patrick Wanjohi, mwanaye Susan Nyawira, kutoka Mekaro, Nyandarua, akifunga ndoa na Purity Karendi, bintiye George Ndiga na Justa Mukwaiti, kutoka Mpiani, Tharaka-Nithi.

Kama kuna mtu ana kizuizi kuhusu ndoa hii ajulishe Ofisi ya Parokia.

TODAY 14.09.2025 IS THE EXALTATION OF THE CROSS, YEAR C.

MASS ANIMATION

  • Next Sunday, 21 September, is the 25 Sunday in Ordinary Time, Year C. Masses here in Church shall be at 7:00am, 8:45 am and 10:30am.

MASS THIS WEEK

  • Members of Mary Help of Christians SCC, will celebrate Mass, next Thursday, 18 September, here in Church, from 6 pm.

OTHER ANNOUNCEMENTS

  • Members of the Divine Mercy Group are notified that there will be a session today at St. Patrick’s Church, at 2 pm. They are requested to bring their Bibles.
  • The Management of St. Patrick’s Self Help Group, invites members to an education and capacity building day next Saturday, 20 September, at St.Patrick’s Church hall, from 9 am.
  • Afya Care Limited will have a free medical camp next Sunday, 21 September, here in Church, after every Mass.
  • Members of CWA are notified that they will have formation class next Sunday, 21 September, here in Church, from 12 noon.

MARRIAGE BANN FOR THE SECOND TIME

  • We announce the intended marriage between Patrick Wanjohi, son of Susan Nyawira, from Mekaro, Nyandarua, marrying Purity Karendi, daughter of George Ndiga and Justa Mukwaiti, from Mpiani, Tharaka-Nithi.
  • Anybody with an impediment regarding this marriage should forward it to the Parish Office.